• Contact us |
    • FAQ |
    • Comments |
    • Staff Mail |
TANZANIA EXTRACTIVE INDUSTRIES TRANSPARENCY INITIATIVE

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

MINISTRY OF MINERALS TANZANIA EXTRACTIVE INDUSTRIES TRANSPARENCY INITIATIVE

  • Home
  • About Us
    • History of TEITI
    • Organisation Structure
    • Working Group
    • Management Team
  • Partners
    • Government
    • Donors and Partners
    • Civil Socities
    • Extractive Companies
  • WorkPlan
  • TEITI Reports
    • Reports
    • Scoping Report
    • TEITI Annual Progress Report
    • Other Documents
    • Financial Statements
  • Opportunities
    • Tenders
    • Vacancies
    • TOR
  • Publications
    • Legislation
    • Policies
    • Contracts Disclosure
    • Minutes
    • EITI Standards
    • Speech
    • Licenses
  • Media Centers
    • Video Gallery
    • Photos Gallery
  • News
  • Infographics
    • Findings of 8th Report
    • Findings of 7th Report
    • Findings of 6th Report
    • Findings of 5th Report
  • Beneficial Ownership
  • Validations
  • Dashboard

Wajumbe wa Kamati ya TEITI Watembelea Mgodi wa GGML-Mkoani Geita

Posted on: February 16th, 2021

WAJUMBE KAMATI YA TEITI WAITEMBELEA GGML - GEITA

Na Mwandishi wetu


Kamati ya wajumbe ya Taasisi ya Uwazi na Uwajibikaji katika rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi Asilia Tanzania (TEITI) tarehe 16/02/2021 walipata fursa ya kutembelea Mgodi wa Dhahabu wa Geita Gold Mine Limited (GGML).


Kamati hiyo, iliongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Ludovick Utouh pamoja na Kaimu Katibu Mtendaji wa Kamati hiyo Bi. Mariam Mgaya.


Utouh aliipongeza Kampuni ya Dhahabu ya GGML kwa kukubari kuruhusu kamati hiyo kutembelea Mgodi huo ikiwa ni moja ya sehemu ya kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo uzalishaji, uchimbaji, utunzaji wa mazingira, ushilikishwaji wa jamii katika uchumi wa madini pamoja na uwajibikaji wa mgodi kwa jamii (CSR).


"Napenda kuchukua fursa hii kuupongeza Uongozi mzima wa mgodi wa GGML kwa kuafiki kamati hii kuja kujionea shughuli za uzalishaji unaofanyika katika mgodi huu, kiukweli tumejifunza mengi, hongereni sana," alisema Utouh.


Naye, Kaimu Mkurugenzi wa TEITI, Mariam Mgaya alisema, lengo la ziara hiyo ni kutaka kushuhudia shughuli za uzalishaji madini katika mgodi huo zinavyoendeshwa na kujionea uwekezaji ulivyofanyika katika mgodi huo.


Awali, Meneja Mahusiano wa GGML, Joseph Mangilima, alisema, Kampuni yao ndiyo inayoongoza kwa kuiingizia Serikali mapato ambapo mwaka ulioisha ulichangia katika halmashauri ya Mkoa wa Geita zaidi ya Sh. bilioni 9 ili isaidie katika masuala ya Kijamii (CSR).


Mgodi wa G

GML ulio gunduliwa mwishoni mwa miaka ya 1800 na kuanza rasmi uzalishaji mwaka 2009 umekuwa msaada mkubwa kwa wana Geita pamoja na Taifa kwa ujumla.


Aidha, Mangilima alisema, kwa sasa Mgodi huo unaendesha migodi mitatu ya chini kwa chini na mgodi mmoja wa wazi ambapo una wafanyakazi 2008 watanzania na 51 wangeni kati yao asilimia  11 ni wanawake na asilimia 89 ni wanaume na una kampuni mbalimbali zilizoajiliwa mgodini humo ambapo kuna zaidi ya watu 5000 wanaofanya kazi katika mgodi huo.


Matukio mbalimbali katika picha wakati wa ziara hiyo kwenye mgodi wa GGML

Announcements

  • Uteuzi wa Wajumbe wa Taasisi - TEITI March 01, 2023
  • President's Office Public Service Recruitment Secretariat Vacancy Announcement April 03, 2023
  • Request For Expression of Interest August 17, 2018
  • VACANCIES ANNOUNCEMENT May 02, 2018
  • View All

Latest News

  • TEITI Held It's 94th Committee Meeting

    May 13, 2025
  • Bunge lapitisha kwa kishindo Bajeti ya Madini Tsh Bilioni 224.98 kwa Mwaka 2025/2026

    May 02, 2025
  • Mavunde Aainisha Vipaumbele Vya Madini Bajeti ya Mwaka 2025/2026

    May 02, 2025
  • Chini ya Uongozi wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Uwazi katika usimamizi wa Sekta ya Madini, Mafuta na Gesi Asilia waongezeka

    March 20, 2025
  • View All

Video

Mirerani, kuanzia Julai 1, 2025 Kamera zitawamulika kutokea Mtumba Dodoma.
More Videos

Quick Links

  • Events
  • EITI
  • TEITI yawaongezea maarifa wananchi kuhusu rasilimali Madini, Mafuta na Gesi Asili
  • Tenders
  • Announcements
  • History of TEITI

Related Links

  • Ministry of Minerals
  • The Ministry of Energy
  • The Mining Commisssion
  • Petroleum Upstream Regulatory Authority(PURA)
  • Tanzania Petroleum Development Corporation(TPDC)
  • The Ministry of Finance
  • EITI Secretariate
  • Geographical Survey of Tanzania

Visitors Counter

https://www.Stat-Counter.org

World visitors tracker

world map hits counter

Location Map

TANZANIA EXTRACTIVE INDUSTRIES TRANSPARENCY INITIATIVE

Contact us

    TEITI Office Dodoma

    Postal Address: S.L.P 361 Kikuyu Ave.

    Telephone: +255688386546

    Mobile: +255688386546

    Email: info@teiti.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.